Utakuwa katika mikono ya watu mahiri na makini utakapotumia huduma zetu

Paradise Unisex Spalon ni watengenezaji maarufu wa nywele kwawanaume, wanawake na watoto.Tuna vifaa vya kisasa vya kutengenezea nywele ikiwa ni pamoja na mashine za nywele na kila aina ya kurembesha. Tunafanyia shughuli zetu katika chumba chenye nafasi ya kutosha na eneo kubwa la kuegeshea magari.

read more

Tutakufanya uonekane mtanashati na mrembo pale wataalamu wa nywele na ulimbwende watakapokurembesha vilivyo. Saloni yako ya Paradise Unisex Spalon ipo Mbezi, kandokando ya barabara ya Bagamoyo, jijini Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu, wasiliana nasi upate ushauri ili upange wasaa mzuri wa kuhudumiwa

click here

Functions

Weddings (Kitchen Party &
Send-off Services)

Body Care

Body Treatments � Massages

View more pictures
Created & Powered by 1&1